SHINYANGA: SERIKALI haitataka kuona mwanafunzi yeyote anakaa chini wala kusomea nje sababu imetoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa kwenye upungufu wa vyumba hivyo na wanafunzi wanaoishi mbali wamejengewa shule shikizi kuwarahisishia. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Kangeme kata ya … The post Serikali yajizatiti kupeleka wanafunzi shule first appeared on HabariLeo .