Kapinga, Londo mguu sawa kuimarisha viwanda, biashara

DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga, ameongoza watumishi wa wizara hiyo kumpokea Naibu Waziri mpya, Denis Londo, huku akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu katika kutekeleza majukumu ya wizara kwa maslahi mapana ya Taifa. Akizungumza Januari 15, 2026 katika ofisi za wizara hiyo jijini Dodoma, Kapinga ameahidi kumpa ushirikiano wa kutosha Naibu Waziri … The post Kapinga, Londo mguu sawa kuimarisha viwanda, biashara first appeared on HabariLeo .