Trump Akabidhiwa Tuzo ya Amani ya Nobel na Kiongozi wa Upinzani wa Venezuela

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kutoka Venezuela amemkabidhi Rais wa Marekani, Donald Trump, tuzo yake, katika mkutano wa faragha uliofanyika Ikulu ya White House siku ya Alhamisi, kwa mujibu wa kauli ya kiongozi wa upinzani wa Venezuela, María Corina Machado. Akizungumza baada ya mkutano huo, Machado alisema tukio hilo ni la kihistoria kwa […] The post Trump Akabidhiwa Tuzo ya Amani ya Nobel na Kiongozi wa Upinzani wa Venezuela appeared first on Global Publishers .