Maadhimisho ya wiki ya huduma za fedha kitaifa yanatarajiwa kufanyika jijini Tanga Januari 19 hadi 26, 2026. Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha, kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni ” Elimu ya Fedha, Msingi wa maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi.” Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo yatafanyika viwanja vya Usagara anatarajiwa kuwa Waziri wa Fedha, Balozi … The post Maadhimisho wiki huduma za fedha kitaifa kufanyika Tanga first appeared on HabariLeo .