Mhita atoa mil 1.5/- kwa walimu shule ya Nyabusalu

SHINYANGA: MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita ametoa zawadi ya Sh milioni 1.5 kwa walimu tisa na kombe la ushindi kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyabusalu kata ya Bulungwa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama baada ya matokeo ya darasa la nne mwaka 2025 kuongoza kitaifa. Mhita amekabidhi fedha na kombe jana baada ya … The post Mhita atoa mil 1.5/- kwa walimu shule ya Nyabusalu first appeared on HabariLeo .