Afariki dunia kwa kuangukiwa jiwe kwenye machimbo

Juma Suleiman Juma (51) mkazi wa Pujini Kibaridi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba, amefariki dunia baada ya kudondokewa na jiwe wakati akichimba mawe kwenye machimbo ya Makaani Pujini.