Wavuvi walalamikia uvamizi Ziwa Victoria, Serikali yachukua hatua

Wavuvi katika Kata ya Bukura wilayani Rorya, mkoani Mara wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kukomesha vitendo vya uvamizi vinavyofanywa na wavuvi kutoka nchi jirani ya Kenya kwenye eneo lao ndani ya Ziwa Victoria.