IFAD yaahidi kuendeleza sekta ya kilimo na uvuvi Tanzania

Katika jitihada za kuimarisha uchumi wa wananchi, Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) umethibitisha kuendeleza ushirikiano wa kimkakati na Serikali ya Tanzania katika kukuza sekta za uzalishaji hasa Kilimo na Uvuvi. Leo, Januari 16, 2026, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dkt. Jim Yonazi, amefanya mazungumzo muhimu …