MOROGORO; WANAFUNZI 1,200 wa darasa la kwanza shule za msingi kwenye halmashauri tisa za mkoa wa Morogoro wanatarajia kunufaika kupatiwa madaftari na penseli kupitia Taasisi ya Celina Kombani Memorial Foundation, ukiwa ni mkakati wa kuunga mkono juhudi za serikali uboreshaji wa elimu nchini . Kwa kuanzia utekelezaji huo, wanafunzi 300 wa shule za msingi sita kutoka … The post Taasisi ya Celina Kombani yasaidia wanafunzi Moro first appeared on HabariLeo .