Serikali imesema inatambua uwepo wa baadhi ya watumishi wanaosumbua wawekezaji kwa kuwaomba rushwa pindi wanapokuja nchini, huku ikiahidi kuwashughulikia.