Waziri Kijaji aitaka NCT kuongeza masomo ya lugha za mataifa

Kwa mujibu wa Waziri huyo kuanzia Januari 2025 hadi Novemba 2025, idadi ya watalii imeongezeka hadi kufika watalii 2,097,823 ikilinganishwa na watalii 1,924,240 kwa mwaka 2024.