Mahakama ya Wilaya ya Temeke imepanga Januari 23, 2026 kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya wizi wa Sh62.8 milioni, inayomkabili Laila Khatibu (42).