Sita washikiliwa tuhuma za mauaji ya bodaboda Ngosha Tabora

Polisi Mkoa wa Tabora imetoa taarifa za kuwashikiliwa watuhumiwa mbalimbali wakiwemo wa mauaji ambapo upelelezi unaendelea ili hatua zaidi za kisheria zochukuliwe dhidi yao.