Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya ‘MNEC’ Ndele Mwaselela amewataka viongozi kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea jambo linalokwamisha utatuzi wa changamoto kwenye jamii.