Fahamu Vyakula vya Kuondoa Gesi Tumboni au Kusaidia Tumbo Kujaa

Watu wengi wamekuwa wakiniomba mada hii japo nilishawahi kuitoa huko nyuma baada ya kuhangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo hii nitairudia kwa kuletea baadhi ya vyakula vya kuondoa hili tatizo kama linakusumbua kwa muda mrefu. Pia kuna dawa maalum. Kwa njia moja au nyingine, unajikuta tumbo limechafuka kwa kujaa gesi, […] The post Fahamu Vyakula vya Kuondoa Gesi Tumboni au Kusaidia Tumbo Kujaa appeared first on Global Publishers .