Beckham Aonyesha Maendeleo ya Uwanja Mpya wa Inter Miami, Mashabiki Wavutiwa

Mmiliki mwenza wa klabu ya Inter Miami, David Beckham, amewasisimua mashabiki wa soka duniani baada ya kuchapisha picha zinazoonyesha maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo, Miami Freedom Park. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Beckham ameonesha kuridhishwa na kasi na ubora wa ujenzi wa uwanja huo, akibainisha kuwa mradi huo uko katika […] The post Beckham Aonyesha Maendeleo ya Uwanja Mpya wa Inter Miami, Mashabiki Wavutiwa appeared first on Global Publishers .