Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Marco Gaguti amefunga rasmi zoezi la Medani la EX- MALIZA lililofanywa na Kuruti wa Kundi la 44/25 katika eneo la Msata tarehe 16 Januari 2026. Akizungumza baada ya kukamilika kwa zoezi hilo, Meja Jenerali Gaguti amewataka Kuruti hao wanaotarajia kuhitimu mafunzo ya […] The post Meja Jenerali Gaguti Afunga Rasmi Zoezi La Medani Msata appeared first on Global Publishers .