Miaka 10 ya Infantino FIFA, Mshahara Wake Waibua Maswali

Mshahara wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, umeongezeka kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha uongozi wake, ukifikia Dola za Kimarekani Milioni 6.1 kwa mwaka, sawa na takriban Shilingi bilioni 15 za Tanzania. Taarifa hiyo imebainishwa kupitia utafiti uliofanywa na Gazeti la Le Monde, unaofichua mwenendo wa malipo ya Rais wa FIFA […] The post Miaka 10 ya Infantino FIFA, Mshahara Wake Waibua Maswali appeared first on Global Publishers .