Baada ya tetesi kusambaa kwa muda mrefu mitandaoni zikimhusisha mwanadada @officiall_nai na staa wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, hatimaye mwenyewe ameamua kuvunja ukimya. Kupitia mahojiano ya mubashara na Global TV, Nai amefunguka na kuweka wazi ukweli kuhusu madai yanayoendelea kuzunguka mitandaoni, akieleza msimamo wake juu ya tetesi hizo zinazomhusisha na kiungo huyo wa Yanga. Mahojiano […] The post Nai Avunja Ukimya Kuhusu Tetesi Zake na Pacome Zouzoua – Video appeared first on Global Publishers .