Rais William Ruto aliwakaribisha viongozi wa ngazi ya chini wa UDA kutoka Kaunti ya Nyeri katika Ikulu ya Sagana, ambapo walijadili kuimarisha miundo ya chama, kuboresha uratibu na kushughulikia vipaumbele vya maendeleo ya eneo hilo. PCS
#WeekendWarmUp #KituoChaWakenya