MWENDOKASI MBAGALA WATAKA DALADALA ZIONDOLEWE; WANANCHI WAGOMA WAKIHOFIA NAULI NA ADHA.

Hali ya sintofahamu imeanza kutanda katika sekta ya usafirishaji jijini Dar es Salaam, hususan katika Barabara ya Kilwa, kufuatia ombi la Kampuni ya Mofat inayotoa huduma ya mabasi yaendayo haraka kuitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuziondoa daladala, bajaji, na bodaboda katika njia hiyo ili ibaki pekee kutoa huduma za usafiri kwa njia hiyo. […] The post MWENDOKASI MBAGALA WATAKA DALADALA ZIONDOLEWE; WANANCHI WAGOMA WAKIHOFIA NAULI NA ADHA. appeared first on Jambo TV Online .