Bandari ya Tanga yatoa onyo kwa madereva wizi wa vipuri

Mbega amesema kwa wastani magari kati ya 600 hadi 800 hushushwa Bandari ya Tanga kila mwezi, yakihitaji kusafirishwa kwenda maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi, ikiwemo Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).