Vijana waibua taharuki msibani kisa mwenzao aliyefia mahabusu

Vijana hao hawakutaka kusikiliza mahaburi yaliyokuwa yakitolewa na kiongozi huyo wa kiroho wakidai kwa kupiga kelele wakitaka kuambiwa ukweli wa sababu za kifo cha mwenzao.