Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura 7,946,772 ambayo ni asilimia 71.65% ya kura zote zilozopigwa. Mpinzani wake wa karibu Robert Ssentamu Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine alikuwa wa pili, akiwa na jumla ya kura 2,741,238 au asilimia 24.72%. […] The post Rais Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi Uganda appeared first on Global Publishers .