REA yazindua kituo cha kusambaza umeme Mtera

DODOMA: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imezindua kituo cha kupoza na kusambaza meme cha Mtera (2x10MVA, 220/33kV), ambacho kimeongeza ubora wa umeme. Hatua hiyo imepunguza changamoto za ‘voltage’ ndogo na kuboresha huduma za kijamii, afya, elimu, maji na mawasiliano katika mikoa ya Iringa na Dodoma. Akizungumza katika hafla hiyo Januari 16, 2026 katika eneo la … The post REA yazindua kituo cha kusambaza umeme Mtera first appeared on HabariLeo .