MSATA: Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Meja Jenerali Marco Gaguti amefunga rasmi zoezi la Medani la EX- MALIZA lililofanywa na Kuruti wa Kundi la 44/25 katika eneo la Msata Januari 16, 2026. Akizungumza baada ya kukamilika kwa zoezi hilo, Meja Jenerali Gaguti amewataka kuruti hao wanaotarajia kuhitimu mafunzo ya … The post Meja Jenerali Gaguti afunga zoezi la medani Msata first appeared on HabariLeo .