Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika ametoa maelekezo kwa Baraza la Vijana wa Chama hicho (Bavicha) kubeba ajenda kuu za chama hicho ili kufikia malengo ya kuanzishwa kwake.