Vijana wafanya ibada ya maziko ya mwenzao anayedaiwa kujinyonga mahabusu

Kijana huyo ambaye ni fundi bomba na dereva bodaboda mkazi wa mtaa wa Karikacha, kata ya Rau, Mkoani Kilimanjaro anadaiwa kujinyonga kwa kutumia mkanda akiwa mahabusu alikokuwa akishikiliwa Januari 13, 2026 kwa tuhuma za kumjeruhi baba mdogo wake kwa kumpiga bapa.