Akutwa amefariki ndani Moshi, pombe kali yatajwa

Mwanachi limeshuhudia askari Polisi wakifika eneo la tukio leo Jumamosi Januari 16, 2026, saa tano asubuhi, likiongozwa na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Moshi, wakiambatana na madaktari kwa uchunguzi.