Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, kufuatia kifo cha Halima Idd Nassor, Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kundi la wafanyakazi, kilichotokea leo, Januari 18, 2026. Kwa mujibu wa taarifa […] The post Rais Samia Atoa Pole kwa Familia ya Mbunge Halima Nassor, Maziko Kufanyika Leo Kigamboni appeared first on Global Publishers .