Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mbunge
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, kufuatia kifo cha mbunge wa viti maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kundi la wafanyakazi, Halima Idd Nassor.