MOROCCO; Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewasili nchini Morocco kwa ziara maalumU ya kikazi akiwa na jukumu la kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, kwenda kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe. Ziara hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano wa kimkakati … The post Makonda awasili Morocco first appeared on HabariLeo .