Na Bakari H. Mahundu Mwili wa Marehemu Mheshimiwa Halima Idd Nassor ulivyofikishwa nyumbani kwake Kibada, Kigamboni Dar es Salaam kwaajili ya dua maalumu nyumbani hapo kabla ya kuzikwa leo Januari 18, 2026 saa 10 jioni katika makaburi ya Kibada kwa Dole Kigamboni jijini Dar es Salaam. The post Mwili wa Marehemu Halima Nassor Ulivyofikishwa Nyumbani Kwake, Kigamboni appeared first on Global Publishers .