ARUSHA: Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu, Reuben Kagilwa, ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Wilaya ya Arumeru, kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari Kiutu, yanayojengwa kwenye jengo la ghorofa tatu huku ukiwa kwenye hatua ya sakafu ya chini ikiwemo … The post Kagilwa atoa maagizo ujenzi sekondari Kiutu first appeared on HabariLeo .