Katika nchi za China na Mongolia, kuna jamii ya watu waitwao Mosou. Ni watu wanaoshika mila kwelikweli. Baadhi ya mila zao hasa kuhusiana na ndoa, zinaweza kukuchanganya, kukushangaza hata kutisha.