Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenan Kihongosi amewataka viongozi na wananchi kufanya kazi kwa umoja, mshikamano na upendo.