Na Bakari Mahundu Dakika 90 za mchezo wa kukatana shoka kati ya Simba SC na Mtibwa Sugar zimekamilika kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, huku timu hizo zikigawana pointi baada ya sare ya bao 1–1. Simba walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Mpanzu aliyefunga katika dakika ya 18, na kuwapa wekundu hao uongozi wa […] The post Simba Washikwa Shati na Mtibwa Sugar appeared first on Global Publishers .