Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa Ujenzi wa Bandari ya Mbamba bay umezingatia mabadiliko ya hali ya hewa kwa miaka hamsini ijayo. Profesa Mbarawa, ameyasema hayo baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa Bandari hiyo, iliyopo wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma, inayogharimu takribani billioni 80, ambapo bilioni 75.8 kwaajili ya Mkandarasi …