Dira 2050 kuwakutanisha wadau wa Tehama, mambo matano kujadiliwa
Wadau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) wanatarajia kukutana kesho Januari 19, 2026 jijini Dar es Salaam ambapo watajadili mambo matano muhimu ikiwa ni hatua za utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo (Dira 2050).