Benki ya NMB imetangazwa kuwa mwajiri bora Tanzania kwa mwaka wa tatu mfululizo kupitia tuzo za kimataifa za waajiri 2026 zinazotolewa na taasisi ya Top Employers Institute, zilizotangazwa wiki hii.