Agizo la Mchengerwa la mitihani ya afya lazua mjadala wa ubora
Kauli ya Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ya kutaka usimamizi wa mitihani ya vyuo na kada za afya kuhamishiwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeibua mjadala miongoni mwa wadau wa sekta ya afya.