Kwa sasa, Kwacha ya Zambia inatajwa kuwa miongoni mwa sarafu zinazofanya vizuri zaidi barani Afrika dhidi ya Dola ya Marekani, hali iliyozua mjadala mpana kuhusu sababu za mafanikio hayo. Moja ya sababu kuu ni sekta ya madini ya shaba (copper). Zambia ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa shaba barani Afrika, nyuma ya Jamhuri ya […] The post Zambia Yadhibiti Matumizi ya Dola, Kwacha Yapaa Afrika appeared first on Global Publishers .