Mchezaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mané, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano ya AFCON 2025 baada ya kuiongoza Senegal kutwaa ubingwa wa michuano hiyo kwa ushindi wa bao 1–0 dhidi ya wenyeji Morocco. Mané ameibuka mshindi wa tuzo hiyo kutokana na kiwango chake bora katika mashindano, […] The post Senegal Yatwaa Ubingwa, Sadio Mané Aibuka Mchezaji Bora appeared first on Global Publishers .