Mfanyabiashara maarufu anayefahamika kwa jina la Niffer amethibitisha rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake, OG Phone and Accessories, akieleza kuwa uamuzi huo umefikiwa kwa utulivu, heshima na bila chuki wala maumivu. Kupitia taarifa aliyoiweka wazi kwa umma, Niffer amesema amechukua muda wa kutosha kutafakari kabla ya kuzungumza, akibainisha kuwa kwa kuwa yeye […] The post Niffer Athibitisha Kuachana na OG, Aomba Kuheshimiwa appeared first on Global Publishers .