Serikali Yatangaza Ajira 142 NAOT kwa Fani Mbalimbali

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa, uwezo na nia ya kufanya kazi serikalini kujaza nafasi 142 kama zilivyoainishwa hapa chini. NAFASI ZILIZOTANGAZWA BONYEZA HAPA >>>OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI 1. Mkaguzi Daraja la II […] The post Serikali Yatangaza Ajira 142 NAOT kwa Fani Mbalimbali appeared first on Global Publishers .