WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametaka imani ya dini wanayojifunza na kuimarishwa katika ibada itafsiriwe kwa matendo ya uadilifu, uwajibikaji na bidii katika kazi. Amesema lengo ni kujenga taifa lenye hofu ya Mungu na liwe kwenye matendo ya kuheshimu sheria na kushiriki katika kujenga taifa lenye haki, amani na maendeleo endelevu. The post Mwigulu aelekeza imani itafsiri uadilifu, uwajibikaji, bidii ya kazi first appeared on HabariLeo .