KAMPUNI ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafi rishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imesaini mikataba ya Sh bilioni 95.2 kutekeleza miradi ya Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ya kusambaza umeme katika vitongoji 620 vya mikoa ya Katavi na Ruvuma. The post Bil 95.2/- kusambaza umeme vitongoji 620 Katavi, Ruvuma first appeared on HabariLeo .