SINGIDA; KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa (CCM)Taifa, Kenani Kihongozi amemuagiza Mkuu Wilaya ya Manyoni, Vincent Mashinji, kuvisimamia vyama vya ushirika na kuhakikisha kuwa wananchi wananufaika na sio kunyonywa kwa kuuza mazao kwa bei ya chini. Kihongosi alitoa agizo hilo wakati akisikiliza kero za waanchi wakati wa mkutano wake wa hadhara uliofanyika Viwanja … The post Kihongosi atoa maelekezo usimamizi vyama vya ushirika first appeared on HabariLeo .