KATIKA kuhakikisha vitendo vya ukatili kwa watoto vinakomeshwa kwenye jamii, serikali iliweka miongozo mbalimbali ya kuweza kupambana na vitendo hivyo. Moja ya miongozo hiyo ni kuundwa kwa mabaraza ya watoto katika shule za msingi na sekondari kwa lengo na kuwezesha watoto kueleza vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa. The post Mabaraza ya watoto yaundwe shuleni kisheria kukomesha ukatili first appeared on HabariLeo .