‘No Reforms, No election’ ilivyoiimarisha Chadema

Kwa mujibu wa Mzee, kampeni hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa Chadema kuendelea kuwepo na kuwa imara licha ya mazingira magumu ya kisiasa iliyopitia.